Othman Achukua Fomu ya Urais Zanzibar

GEORGE MARATO TV
0


 Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, leo Agosti 31, 2025, akisindikizwa na Viongozi wenzake Wakuu na Waandamizi wa Chama hicho, amefika huko Maisara Mijini Unguja, katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi (ZEC), na kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar.

Mara baada ya kupokea Fomu hiyo, Mheshimiwa Othman,ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, amepokelewa na pia kuwahutubia Umati wa Wanachama, Wapenzi na Wafuasi wake, pamoja na Wananchi kutoka Maeneo mbali mbali, huko Ofisi ya Makao Makuu ya ACT-Wazalendo Vuga, ndani ya Mkoa wa Mjini-Magharibi Unguja.











Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top