Mfanyakazi wa Mgodi wa Barrick North Mara akitoa elimu ya usalama kazini kwa wananchi waliotembelea banda lao leo juni 5, 2025 kwenye maonesho ya madini yanayofanyika Uwanja wa shule ya msingi Mukendo mjini Musoma mkoani Mara.
Picha na Ada Ouko
Picha na Ada Ouko