Benki ya Azania imetunukiwa tuzo maalum ya kutambua mchango wake katika maendeleo ya sekta ya mifugo nchini.
Imetunukiwa tuzo hiyo katika Kongamano la Kitaifa la Wafugaji-Simiyu ambapo benki hiyo pia ilishiriki kongamano hilo.
Kongamano hilo limehitimishwa na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye viwanja vya Nyakabindi, Bariadi likiambatana pia na ufunguzi wa kampeni ya kitaifa ya chanjo na utambuzi wa Mifugo.






Comments
Post a Comment