Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaa, leo tarehe 14 Novemba, 2024.
Rais Samia aongoza Watanzania Kuaga Mwili wa Mafuru leo Novemba 14
November 14, 2024
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaa, leo tarehe 14 Novemba, 2024.
Share to other apps