Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu Ridhiwani Kikwete amekutana na kufanya Mazungumzo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Tabia Mwita.
Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar Es Salaam ambapo mkutano wa Vijana na Amani unafanyika.