Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania Masanja Kadogosa mara baada ya kuwasili Stesheni ya Treni ya Kisasa (SGR) Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2024.
Matukio Katika picha tofauti tofauti Dkt.Samia Suluhu Hassan wakati wa Uzinduzi Rasmi Safari za Treni ya kisasa SGR na miundombinu ya Reli hiyo kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma.
Shamrashamra za wananchi wa Pugu Jijini Dar es Salaam Mara baada ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwasili Stesheni hapo kwa usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) tarehe 01 Agosti, 2024











Comments
Post a Comment