Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan anatarajia Kuanza Ziara ya Kikazi ya Siku Tano Mkoa wa Morogoro kuanzia August 02,2024 .
Rais Samia mbali na kuzindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo pia atazungumza na Wananchi wa Mkoa huo.
Aidha Rais Dkt, Samia anatarajiwa pia kufanya Uzinduzi wa safari za treni ya kisasa ya SGR kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma August 01,2024.

Comments
Post a Comment