Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ), Limetangaza Nafasi za kuandikishwaJeshini Kwa Vijana wa kitanzania wenye Elimu ya Kidato Cha nne na Kidato Cha Sita.
Aidha uandikishaji utahusisha Vijana waliopo Katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa " Operesheni Jenerali Venance Mabeyo" na waliomaliza Mkataba ambao wameifanya Mafunzo ya JKT Kwa mujibu wa Sheria na Kwa Mkataba wa kujitolea.



Comments
Post a Comment