Mhe. @HecheJohn leo Aprili 10, 2026 akiwa Bunda, Mkoa wa Mara, ameongoza harambee ya ujenzi wa Ofisi ya Chama Jimbo la Bunda Mjini ambapo jumla ya shilingi milioni 15 zimepatikana.
Aidha, amepokea wanachama wapya na kuwakabidhi kadi ya uanachama.
Aidha, amepokea wanachama wapya na kuwakabidhi kadi ya uanachama.