Na Thomas Lutego; Misungwi
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi Bw. Addo Missama(kushoto) akifungua Kikao Cha Utoaji wa Elimu na Hamasa ya Zoezi la Kampeni ya Chanjo ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto chini ya Miaka 10 itakayofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei, mwaka 2026.
Wadau wa Sekta ya Afya, Viongozi wa Dini na Makundi mbalimbai Wilayani Misungwi wakiwa katika Kikao Cha Utoaji wa Elimu na Hamasa ya Zoezi la Kampeni ya Chanjo ya Ugonjwa wa Polio kwa Watoto chini ya Miaka 10 itakayofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei, mwaka 2026.




Comments
Post a Comment