Skip to main content
Waziri Mkuu Ateta na Balozi Wilson Kajumula
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) Balozi Wilson Kajumula Masilingi Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es Salaam, Aprili 27, 2026.
Comments
Post a Comment