Skip to main content

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Samia Aongoza Kikao cha Kamati Kuu


 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kinachokutana jijini Dar Es Salaam , leo Jumanne tarehe 28 Aprili 2026.









Comments