Waziri Kikwete Awashukuru Owm-kazi,Ajira na Mahusiano Kwa Kumpatia Nishani

GEORGE MARATO TV
0

‎‎

‎Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amewashukuru OWM-Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kumtambua kama aliyechangia mabadiliko katika sera ya Kinga ya Jamii.

‎Mh.Kikwete amesema kuwa nishani hiyo ataipeleke kwa Mh. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT kwa kumpa nafasi ya kutumika katika nchi hii chini ya Uongozi wake.

‎Amemshukuru Mh.Rais toka kwenye sakafu ya Moyo wake kwa kumteua na kumuamini siku zote. Ameendelea kuahidi kuwa atatumika kwa manufaa na ujenzi wa nchi.

‎#KaziNaUtu #TunasongaMbele

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top