Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika kwenye Futari iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa Viongozi wa Serikali, Vyombo vya ulinzi na Usalama, Siasa , Dini na Wananchi mbalimbali katika Viwanja vya Ikulu ndogo ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 19 Februari 2026.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.














