Waziri wa ulinzi na JKT mheshimiwa Dkt Rhimo Nyansaho (Mb) , tarehe 02 Januari 2026 amekutana na kufanya mazungumzo na balozi wa India nchini Tanzania , Mheshimiwa Bishwadip Dey katika ofisi ndogo za wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga Taifa Upanga jijini Dar-es-salaam.
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.



