Katambi Akutana na Uongozi wa Kampuni ya Condor Kutoka Brazil

GEORGE MARATO TV
0


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akizungumza na Wawakilishi wa Kampuni ya Condor, kutoka nchini Brazil, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali yanayohusiana na kudhibiti uhalifu, ambapo nchi mbili hizo, Tanzania na Brazil walibadilishana uzoefu  katika masuala ya udhibiti wa uhalifu.                                                                          

                                                                                   Mazungumzo hayo  yamehudhuriwa na Meneja Mauzo ya Kimataifa kutoka Kampuni ya Condor,Renani Annize, Mkuu wa Mauzo ya Kimataifa, Kareem Seklawi na  Mkurugenzi wa Uwezeshaji Uwekezaji wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (TISEZA) James Maziku    

Mazungumzo hayo yamefanyika leo, Makao Makuu ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi (TISEZA), jijini Dar es Salaam.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top