Dkt. Mwigulu Akagua Athari za Mvua, Kidete

GEORGE MARATO TV
0


Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 02, 2026 amekagua hali ya athari iliyosababishwa na mvua katika eneo la kidete, Kilosa mkoani Morogoro.




Akiwa eneo hilo Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewahakikishia wakazi wa eneo hilo kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilishachukua hatua za kukabiliana na mvua kwa kuamua kujenga mabwawa katika eneo hilo.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top