Mwanadiplomasia kutoka nchi ya Zimbabwe Dk. Joshua Maponga amewataka vijana wa Kitanzania na kiafrika kiujumla kuhamasika katika kupigania nchi zao ikiwa pamoja na kujenga fikra mpya katika mataifa yao.
Hayo amezungumza mapema hii leo jijini dar es salaam katika mkutano mkuu wa habari ambapo amesema Mwalimu Julius Nyerere aliona ndoto ya baadae za vijana wa kiafrika akisema matatizo ya kiafrika ni matatizo ya Tanzania.
Aidha Dkt Joshua amesema kuwa Umoja wa Ulaya ni wa pamoja ,Tanzania ni faida kwa Afrika ,Zimbambwe ni faida na afrika ni moja hivyo vijana kuwapenda maono ya viongozi waliowatangulia ili kujenga mustakqbqli mzuri wa mataifa yao.
Dkt Joshua amesema kama vijana watafata miongozo iliyotanguliwa na waasisi waliotangulia kutakuwa na Taifa lenye Tija na manufaa kwa vizazi vijavyo.
Hata hivyo Dkt. Joshua amesema afrika inaweza kusonga mbele kwa kuungana mkono zenyewe huku akizitaka kuchukua mfano kwa Rais Traole wa Burkinafaso.
Aidha, pia Dk. Joshua amewataka viongozi wa kimatqifa kuwa na uthubutu wa kuunganisha mataifa ya afrika katika kujilinda na kusaidianq katika nyanza mbalimbali huku zitakazo saidia kuimarishq jamii na matifq ya afrika.
"Ni kutambua kuwa mataifq mengi hayo vizuri kqtika uchumi lakini kama Tanzania, Uganda na kenya bakuli msaada bora wa ulinzi au kuboresha majeshi yao na ulinzi badala ya kuangalia na kutangaza madhaifu ya mwenzako ni bora kushikqnq katika kusaidia mikono". Alisema Dk. Yoshua.
Dkt. Joshua aliongeza kuwa hatupaswi kupeleka tamaduni zetu wenye kutokana na ujio wa mataifq ya magharibi afrika kwani sisi wenyewe tunapaswa kuthqmini tqmaduni zetu kama mataifa mengine yanavyo thamini tamaduni zao hata wakiwa ndani ya mataifa ya kiafrika.


Comments
Post a Comment