Dkt Nchimbi Aendelea Kusaka Kura za Ccm Tabora,Leo Kuunguruma Sikonge na Kaliua.

GEORGE MARATO TV
0



Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk.Emmanuel Nchimbi bado yupo mkoani Tabora ambako anaendelea na kampeni za kunadi sera za chama hicho pamoja na kuelekea kuelekea Uchagzi Mkuu Oktoba 29 mwaka huu.

Dk.Nchimbi katika kampeni hizo anaendelea kuipeperusha bendera ya chama hicho akinadi sera na kuwanadi katika maeneo yote anayopita akiwemo Mgombea Urais wa CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kwa mujibu wa ratiba ya kampeni hizo, Dkt. Nchimbi leo Oktoba 05, 2025 atafanya mikutano ambayo itaanza na mkutano Sikonge Uwanja wa TASAF na kisha atamaliza mkutano wake mkuu utakaofanyika Kaliua kwenye Viwanja vya Konane.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top