Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, akishiriki Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, pembezoni mwa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unaofanyika jijini New York, Marekani.
Waziri Kombo Ashiriki Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje Nchini Marekani
September 23, 2025
0
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo, akishiriki Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola, pembezoni mwa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, unaofanyika jijini New York, Marekani.
Share to other apps