Majaliwa kuzindua kampeni za CCM Jimbo la Kiwani

GEORGE MARATO TV
0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 21, 2025 anazindua kampeni za uchaguzi katika Jimbo la Kiwani zinazofanyika katika uwanja wa Kwareni, Pemba, Zanzibar.


Mgombea kiti cha Uwakilishi wa Jimbo hilo ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais  wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top