Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo pa Mtwara Mjini na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CUF Ndugu Maftaha Nachuma amekihama Chama hicho na kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo.
Maftaha amekabidhiwa kadi ya ACT Wazalendo na Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Ndugu Isihaka Mchinjita kwenye Kongamano la kumpokea lililofanyika katika Ukumbi wa Kanisa la Pentekoste Mtwara leo tarehe 19 Juni 2025.






Comments
Post a Comment