*Watendaji, watumishi, wageni, wananchi na wadau mbalimbali wa Sekta ya Madini wamewasili katika Viwanja vya Bunge, Jijini Dodoma kwa ajili ya kufuatilia Uwasilishaji wa Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2025/2026 unaowasilishwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde, leo Mei 2, 2025*