Skip to main content

@marato_tv

@marato_tv
#sauti_ya_jamii

Mzee Joseph Butiku.... Mwenyekiti wa bodi ya taasisi ya MNF


Uchaguzi......

Oktoba,uchaguzi mkuu ni jambo la katiba kila baads ya miaka mitano,Watanzania wenye sifa za kisheria kuruhusiwa kupiga kura,

Sasa ubushi huu hata mimi nimeusikia,kama hakuna sheria za uchaguzi basi uchaguzi usiwepi

Huo ni ubishi,vinabishana vyama vya siasa vipo kwa kw mujibu wa katiba,mambo ya siasa nchi kuongozwa na vyama na vina viongozi na vina wanachana.....huo ni ubishi,wanabushana kuhusu utaratibu wa kufanya jambo,Ni kitu gani kinafanya watanzania wanyang'anywe haki yao ya kupiga kura na miaka mitano imefika

Huu ubishi si mzuri kwa wakati huu,kama hatutachagua lazima tuwe na serikali ambayo si halali

Kuwa na serikali iliyochaguliwa...Watanzania waruhusuwe kupiga kura,hiyo nafasi isizuiwe lazima watanzania waruhusuwe kupiga kura


Watu warusiwe katika uhuru wapige kura

Rushwa,wagombea wanatos rushwa,nashauri watanzania wachukue pesa kisa wawanyime kura


Kudai serikali inatimia mabavu

Ubishi usimamizi ni watu gani.....walimu,

Yoyote atakayeruhusiwa kusimamia...kwa nini ufanye jambo litakalosababisha watanzania wakose haki yao

Wasimamizi wafuate utaratibu pia Wagombea wafuate utaratibu 

Viongozi wa dini,uchaguzi uliopita hakuwrnda vizuri


......Nafasi ya Watanzania kuchagua viongozi wso ni jambo kubwa ,lisizuiwe wawape Watanzania  haki kuchagua viongozi wao,tusitumie Kasoro kuzuia jambo kubwa la uchaguzi,baada ya uchaguzi tupate mafai ya kuyazungumza


Rushwa isituzuie kwenda kwenye uchaguzi 


Umasikini.....


Umasikini tulionao...haujasababishwa na ccm,chama ni uongozi


Tangu uhuru serikali imetokana na Tanu pia CCM 


Mwl Nyerere aliwataja maadui..imasikini,ujinga na maladhi mwaka 62 katika hotuba yake bungeni bunge la kwanza kabisa


Umasikini upo....umasikininunatokewannabkufanya kazi,ukiwa na elimu na ujuzi unaweza kuondokana na umasikini


Bado hatujaweza kutumia watu wenye uwezo hatujaweza  kuzalisha bado hatujaondoa ujinga 


.....Tusilaumiane umasikini haundoleweli na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 


Chama hiki....ccm.wanawajibika kuangalia hali ya umasikini


Kila Mtanzania tuna wajibu kufanya kazi kuondoa umasikini,viongozi pia wana wajibu kujipanga zaidi 


Tusiuze Ardhi kama kanzu..


Hatujatumia sheria katika matumizi ya ardhi ya vijiji


Ugomvi wananchi vijijini ni ardhi  kazi ya serikali 


Watanzania waache kulalamika....lazima tukubali kufanya kazi 


....Kuhusu uteuzi wa mama Samia.....


CCM  kimetenda na kimenena....utaratibu ulifuatwa ingawa uligeuka kidogo


Mkutano mkuu baada ya kufanya uamuzi,taratibu sasa zilifuatwa,


Utaratibu ulifuatwa nje ya mazoea lakini taratibu zote zimefuatwa na hoja zimetolewa adharani


KATIKA CCM  mnapokuwa na Rais wa JMT au Zanzibar 


Sidhani hata mtu angejitikeza angeweza kumshinda mama Samia


Kwa chama tayari tulipanga 


Deni la Taifa......


Hakuna sababu serikali na Bunge wanaruhusu hilo litokee 

Hii si mara ya kwanza,mwl Nyerere ilikuwa haindi Bungeni ili kwa JK ilianza kwenda bungeni


Miminnilidhani utaratibu mzuri watu wanatajwa kutoka wenyewe


Tume ya Nyarari


Tume ya Warioba ilikuja pia wizara zote zina nuka rushwa


Kwa Mwinyi ripoto Waryoba alijudhulu


....Ni udhaifu wa usimamizi  wa fedha za umma,mambo haya makubwa yasiposimamiwa kwa nguvu yataleta shida


Katika maeneo hayo wapo watu wanaosimamia maeneo hayo yanajurudia,katika hilo tumekeana vibaya,ushauri wangu kwrnye hili Rais wetu wana wajibu hilo halitokei tena mwisho uwa na mazoea


Katika kila eneo kuna kiongozi na mtendaji mkuu katika eneo hilo


Mambo yakiharibika waziri mkuu uwa anatoka


Rais wetu anaangaika kila siku kutafuta pesa huku pesa zinatumiwa vibaya


Deni la Taifa likiwa kubwa ni shida,wakati wa mwl Nyerere tulishindwa kukooeshwa


-Bado deni ni himilivu  lakini linakuwa kila mwaka,kwa nini tunakopa kiasi hicho


Tangia awamu ya tano waliakua kufanya mambo makubwa,reli,ndege,madaraja,umeme,bwawa barabara zinajengwa.....lami  busisi  hii ni maendeleo hivyo tushangae deni kubwa,serikali iwe inatoa maelezo kwa sababu na vitu hivi.....Watanzania waleelezwe jinsi pesa ya inavyotekeleza miradi,kushauri sasa....tuzalishe mazao kupunguza deni


Wananchi nao tuna wajibu kutimia miundombinu  hii tuzalushe tulime ili miundo mbinu hii iweze kutumika vema


Tulikuwa viwanda vya nguo pamba ya mkoa wa Mara,mwatex,Tabora,mbeya,Kilitex  na Urafiki,Iringa kiwanda misitu....


Sisi ni soko la matajiri,tulitengeneza gari yetu Nyumbu


Kuridhishwa nabuongozi wa Rais Samia....



Taasisi ya Mwalimu Nyerere,kazi yake kung'ang'ania misingi,kushauri na kutoa haki 


Miaka minne ya uongozi wa Rais Samia


Katika kusimamia misingi amefanya kazi nzuri mno


Niliwahi kumwandikia barua ya kumpongeza


Mipango aliyoyekekeza...ametekeleza tena mikubwa


Huduma za jamii,amefanya vema kabisa,afya,maji,barabara,umeme,bwawa la mwalimu,viwanja vya ndege msalato hata maadili. Amejitahidi sana


Rais wetu ningekuwa natoa maksi,rais amekufa akabebeshwa mzigo,bado kwenye siasa linampa shida,ametuelewesha maeneo yote yenye kasoro,mama ni muwazi kabisa kabisa....ningetoa ningmpa 85 kwa kazi kubwa aliyofanya Rais 


Matatizo mengine ni mzigo wetu,sisi Watanzania  tuna jukumu la kumsaidia mh Rais

Eneo ambalo hatujamsaidia Rais,eneo la kazi.....lazima tuwekeze maelezi na kuwafundisha watoto wetu kufanya kazi na kuacha chagua kazi,lazima uzalendo na maadili,tabia,rushwa,tabia.....tuache kuilamu serikali  sisi ndo wenye jukumu,wazazi tukikataa kula vya haramu  tutawalea vema watoto wetu,tujifunze kuwaambia mali ya umma si mali yako,uzalendo umeporomoka......



Comments

#maratotv

RAIS RUTTO AAMBATANA NA ODINGA NCHINI CHINA

Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.

WIZARA YA MALI ASILI YASISITIZA MATUMIZI YA SHERIA NA KANUNI KATIKA UTEKELEZAJI WA SHUGHULI ZA UHIFADHI

Na.Joyce Ndunguru, Morogoro. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anaeshughulikia Maliasili, Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba asisitiza matumizi ya sheria na kanuni katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za uhifadhi. Kamishna Wakulyamba ameyasema hayo leo Septemba 1, 2024 wakati wa ziara ya kikazi aliyoifanya katika ofisi za Makao Makuu ya TAWA yaliyopo Mkoani Morogoro kwa lengo la kuongea na watumishi ili kuimarisha utendaji kazi pamoja na kukagua maeneo ya kazi. "Kama wahifadhi tunapaswa kufahamu sheria zote zinazosimamia masuala ya uhifadhi zilizopo katika Taasisi zetu pamoja na za Taasisi zingine za uhifadhi zilizopo ndani ya Wizara ya Maliasili na utalii" amesema Kamishna Wakulyamba. "Pamoja na kufahamu sheria na kanuni zilizopo ndani ya Wizara yetu, ni vyema kufahamu na kuzingatia sheria nyingine za Nchi ambazo zinatuzunguka ili ziweze kutusaidia katika utekelezaji wa majukumu yetu mfano sheria inayohusiana na ukusanyaji wa vielelezo kuanzia kw...

Rais Dkt. Samia Awasili China Kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano Kati ya China na Africa FOCAC

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) tarehe 03 Septemba, 2024.

Wananchi Serengeti Wamtaja Dkt Rhimo Nyansaho Kama Chachu ya Maendeleo Kwao

Na Shomari Binda-GMTV  WANANCHI Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamemtaja Dkt.Rhimo Nyansaho kama chachu ya maendeleo kupitia taasisi yake ya Nyansaho Foundation. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na GMTV wananchi hao wamesema kwa kipindi kirefu mchango wake umeonekana katika kuisaidia jamii. Wamesema ukifika Jimbo la Serengeti kila Kata na Kijiji huwezi kukosa mkono wa Dkt.Nyansaho kuchangia na kusaidia jamii kuanzia elimu,afya,maji na masuala mengine ya jamii. Mmoja wa wananchi hao aliyejitambulisha kwa jina la Mwita Sagati amesema wapo watu wanaojitokeza kusaidia jamii kipindi cha uchaguzi kwa kulenga kupata uongozi lakini imekuwa tofauti kwa Dkt.Nyansaho. Sagati amesema iwapo atajitokeza kuomba nafasi ya ubunge wapo tayari kumpambania na kumchagua ili aweze kuendelea kutoa mchango wake katika kusaidia jamii. " Tunashukuru sana mchango wa Dkt.Nyansaho kwa kuchangia shughuli za maendeleo hapa Serengeti. " Wengine huwa wanakuja nyakati za uchaguzi lakini huyu mchango wake ni ...

MAKOMANDOO MIAKA 60 YA JWTZ,HAIJAWAHI KUTOKEA

Makomandoo ya jeshi la ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ)wamekuwa kivutio cha aina yake kwenye kikele cha maadhimisho ya miaka 60 ya tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika sherehe hizo ambazo zimefanyika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania katika uwanja huo wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 1 Septemba, 2024. Rais ameonesha kujivunia na kulipongeza JWTZ kwa kufanya kazi kwa kufuata misingi ya kuanzishwa kwake huku akitumia nafasi hiyo kuwapongeza Marais waliomtangulia kwa kazi kubwa waliyofanya wakati wa uongozi wao kwa kuliongoza vema jeshi hilo.

Meli ya Mv. Serengeti yapinduka na kuzama katika Bandari ya Mwanza kusini

 Meli Mv.Serengeti imepinduka na kuzama kwenye bandari ya mwanza kusini.  Meli hiyo imepinduka na kuzama disemba 26 majira ya saa Saba za usiku.  Tukio hilo limetokea meli hiyo ikiwa imefungwa katika gati la bandari ya mwanza kusini.  Kampuni ya meli Tanzania(Tashico) imethibitisha meli ya Mv. Serengeti kupinduka na kuzama upande mmoja wa nyuma.  Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na kitengo cha Masoko na Uhusiano kwa Umma cha Kampuni hiyo inaeleza kuwa Tashico imeshirikiana na Timu mbalimbali za Wataalam kutoka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania(TASAC), Mamlaka ya Usimamizi wa bandari (TPA) na wadau wengine katika Juhudi za Uokoaji.  Kwa Mujibu wa Taarifa hiyo,Taarifa rasmi ya chanzo cha Tatizo itatolewa Meli hiyo itakapokuwa imeinuliwa na Uchunguzi wa kubaini Tatizo utakapokuwa umefanyika. Meli ya Mv.Serengeti inadaiwa kusitisha safari zake kwenye ziwa Victoria mwaka 2016  Meli ya Mv.Serengeti imepinduka na kuzama katika...

Mbunge wa Bukoba Vijijini ameaga Sifa Kedekede Kwa Rais Samia

 Na Angela Sebastian; Bukoba  MBUNGE wa jimbo la Bukoba vijijini Dk. Jasson Rweikiza amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wananchi wa jimbo hilo, kwa kuwapatia zaidi ya shilingi bilioni 19 kwa ajili ya ujenzi wa madaraja mawili ambayo ni lango la kutoka na kuingia ndani ya mkoa wa Kagera. Ametoa shukrani hizo wakati akiongea wananchi mbalimbali waliofika katika viwanja vya Rweikiza pre and Primary school iliyoko eneo la Kyetema Bukoba vijijini, kwa kwa ajili ya kumbukizi ya miaka 100 ya kuzaliwa baba wa mbunge huyo aliyekuwa akiitwa Samsoni Rweikiza.  Rweikiza amebainisha kuwa,Dk. Samia Suluhu Hassan ni Rais mwenye upendo amekubali kutoa mabilioni ya fedha kwa ajili ya Bukoba Vijijini na ndiyo maana tunasema atakuwa kiongozi wetu kwa awamu nyingine tena,tunapaswa kila mmoja kumuunga mkono. ametaja madaraja hayo kuwa ni Karebe ambalo limetengewa kiasi cha shilingi bil.9.3 kwa ajili ya ukarabati mkubwa kutokana na daraja ...

Jenerali Jacob Mkunda Atembelea Meli Tiba ya China Aridhishwa na Huduma

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ametembelea meli tiba ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China Peace Ark ili kuona matibabu yanavyofanyika. Jenerali Mkunda amefurahishwa na namna wataalam wa tiba wa Jeshi la China walivyotoa matibabu kwa kushirikiana na wataalam wa tiba wa JWTZ . Meli tiba ya jeshi la China imekuja hapa nchini na kutia nanga kwenye bandari ya Dar Es Salaam kutoa matibabu mbalimbali kwa wananchi ikiwa ni muendelezo wa maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa JWTZ  na ushirikiano wa miaka 60 baina ya JWTZ na Jeshi la Ukombozi la Watu wa  China. Matibabu hayo yalianza kutolewa tarehe 18 Julai 2024 hadi tarehe 22 Julai 2024. Meli tiba hiyo itaondoka hapa nchini tarehe 23 Julai mwaka huu.

AMIRI JESHI MKUU AKAGUA GWARIDE LA MIAKA 60 YA JWTZ

 Mapema leo asubuhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu la Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Uwanja wa Uhuru leo September 01,2024. Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa jeshi la ulinzi la Wananchi Tanzania si jeshi la Uvamizi bali ni jeshi la ulinzi wa Wananchi Tanzania Amewahakikishia wanajeshi kufanya kazi kifua mbele,kuwa amiri jeshi mkuu yuko pamoja nao wakati wote.

Jenerali ameacha alama ya uzalendo na kujitoa kwa ajili ya Taifa

*📌 Serikali itaenzi na kuthamini mchango wake* *📌 Asema Jenerali Musuguri alijitolea kuhakikisha Tanzania inabaki na amani na usalama* *📌 Asema alikuwa mstari wa mbele kuliokoa Taifa* *📌 Aiasa jamii kuacha alama katika maisha ya kila siku* *📌 Dkt. Biteko aongoza mamia ya watu mazishi ya Jenerali Musuguri Butiama* Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa  aliyewahi kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Mstaafu David Bugozi Musuguri alijitolea  kuhakikisha Tanzania inabaki kuwa na amani, usalama na mshikamano pamoja na kuifundisha jamii  moyo wa dhati wa kuilinda nchi. Dkt. Biteko amesema hayo leo Novemba 4, 2024 Butiama mkoani Mara wakati akiwasilisha salamu za Serikali kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Jenerali Mstaafu Musuguri. “ Katika  uhai wa kila mmoja wetu ni jambo gani mtu atakumbukwa nalo, baba huyu a...