Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini FEMATA Mr .Yusuph Kazi anatoa pongezi kwa Mwenyekiti wa bodi ya STAMICO aliyemaliza muda wake Major General ISAMUHYO kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa kipindi chote ambacho ameongoza tangu kupewa nafsi hiyo.
Aidha nachukua nafasi hii kumpongeza Mh Balozi SIMON NYAKORO SIRRO (IGP mtaafu ) kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya Madini Tanzania yaani STAMICO.
Tuna imani na wewe kubwa na Mwenyezi Mungu akutangulia katika majukumu yako mapya.Madini ni maisha na Madini ni utajiri.