Waziri Wa Mambo ya Nje wa Drc Awasili Nchini

GEORGE MARATO TV
0


Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mhe. Félix Antoine Tshisekedi ambaye pia ni  Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Mhe. Therese Kayikwamba Wagner amewasili nchini.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam Mhe. Wagner amelakiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano na Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. Dennis Londo.

Akiwa nchini Mhe. Wagner anatarajia kuwasilisha ujumbe maalum wa Mheshimiwa Rais Tshisekedi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan.









Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top