Kikao cha kamati kuu kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar, hii ni baada ya mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. John Heche asubuhi ya leo kwenda katika viwanja vya Karimjee kumuaga Prof. Philemon Sarungi. Baada zoezi hilo watafika Makao Makuu ya Chama kuendelea na kikao.
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.













































Comments
Post a Comment