Mwenyekiti wa Kamati ndogo ya Uchumi,fedha na Mipango CCM wilaya ya Bunda Ndg.KAMBARAGE MASATO WASIRA Amekabidhi Truck suit 140 Kwa Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Mji wa Bunda Kwa ajili ya Maandalizi ya Mashindano Umitashumita.
vifaa hivyo vyenye Thamani ya Shilingi Zenye Tathamani ya Milioni Tatu Laki Sita (3,600,000/=) Kwa niaba yake na Ndg MASATU BURE SALUM.

.jpg)



