“Ninatoa rai kwa viongozi wa dini na Watanzania wote msichoke kuiunga mkono serikali yenu, ili sote tuendelee kuishi pamoja kwa amani, upendo na mshikamano. Serikali inatambua wajibu mkubwa wa kiroho mlionao ambao unaleta matokeo chanya katika maisha yetu ya kila siku, endeleeni kujitoa kwa ajili ya Taifa letu, viongozi na wananchi wake, hatuna mashaka na imani yenu na mapenzi yenu kwa serikali-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Marato tv - Sauti ya Jamii







.jpg)
Comments
Post a Comment