MISA Tan yafanya mazungumzo na TAKUKURU

GEORGE MARATO TV
0



Mwandishi wetu ;Dodoma

Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo Vya Habari Kusini Mwa Afrika ( MISA Tan) Bwana Edwin Soko Leo amemtembea Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) Bwana Crispian Francis Chalamila na kufanya mazungimzo juu ya  kufanya kazi Kwa pamoja  likiwemo suala la kuendelea  kuwashirikisha waandishi wa habari kwenye programu ya Marafiki wa TAKUKURU.


Hatua hii ni mwendelezo wa uongozi mpya wa bodi ya MISA Tanzania ya  kuwatembelea wadau mbalimbali kwa lengo la kujitambulisha na kupanua uwigo wa kufanya kazi na wadau mbalimbali wakiwemo TAKUKURU



Mazungumzo hayo yamefanyika kwenye ofisi za TAKUKURU Makao Makuu Dodoma







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top