WAZIRI MKUU KUKAGUA UJENZI WA MRADI WA MAJI BUJORA-MAGU.
Kukamilika kwa ujenzi wa mradi wa tenki kubwa la maji unaokaguliwa leo Desemba 21, 2024 utawezesha kupokea maji kutoka ziwa Victoria na kutawezesha kuondoa tatizo la maji kwa wananchi wa kata ya Bujora,Bukandwe na Kisesa pamoja na vijiji jirani vya wilaya ya Ilemela.