Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu kazi,vijana,ajira na wenye ulemavu mh Ridhwani Kikwete ameongoza Matembezi yanayojulikana kama Sunset Walk kuunga mkono taasisi inayosimamia haki za wenye Ualbino (TAS) na Lions Club.
Matembezi hayo yamelenga kuchangia fedha kusaidia kupatikana kwa mahitaji muhimu kama Mafuta ya Ngozi, kofia kinga n.k .
Katika hotuba yeke Kikwete amewakumbusha juhudi mbalimbali zinazofanywa na serikali ikiwemo mpango kazi wa kupambania haki za wenye Ulemavu wakiwemo wenye Ualbino utakao zinduliwa hivi karibuni..