Mwananchi wa Jiji la Mwanza wako katika hatari kubwa baada kundi la watu kukutwa katika mtaa wa Liberty zikiuwaza ovyo na baadhi ya watu.
Nyama hizo zinauzwa kwa mafungu huku paja kubwa likiuzwa shilingi 5000 jambo ambalo linatia mashaka kama nyama hizo ni salama kwa matumizi ya binadamu.
Baadhi ya watu wakiwemo baadhi ya Mama ntilie wameonekana kununua kwa wingi nyama hizo.