Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akifungua mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Mkurugenzi wa Idara ya Madai, ndugu Mark Mulwambo akitoa salamu za Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali kwa niaba ya Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratubu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Robert Makaramba akitoa mada kuhusu uelewa wa jumla wa sheria zinazosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa Tanzania wakati wa mafunzo kwa Mawakili wa Serikali kuhusu Sheria na Taratibu za Uendeshaji wa Mashauri ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yaliyofanyika mkoani Morogoro.



