Waziri mkuu amwakilisha Rais Dkt. Samia kongamano la Jumuiya ya waislamu wa shia

GEORGE MARATO TV
0


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 10, 2024 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu na Kongamano la Umuhimu wa Amani kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Waislamu wa SHIA Tanzania, linafanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.








Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top