Mkutanowa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki Waendelea Jijini Arusha

GEORGE MARATO TV
0


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akiwasili eneo la Ukumbi wa Mikutano AICC Mkoani Arusha kushiriki Mkutano wa 24 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC leo November 30,2024.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kawaida wa 24 wa viongozi hao pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 30 Novemba, 2024.
















Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top