*🎉HERI YA KUZALIWA KWAKO DKT. JAKAYA KIKWETE*
Heri ya siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwako Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha mwaka 2005 hadi 2015.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alizaliwa mwezi Oktoba 07, 1950 huko Msoga, Chalinze mkoani Pwani.
GMTV inakutakia afya njema na Maisha marefu Baba
HBD Rafiki JK