Dkt.Stergomena Tax azuru kaburi la hayati Mkapa

GEORGE MARATO TV
0


Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya wanafamilia,  katika Kijiji cha Lupaso, Wilaya Masasi Mkoa wa Mtwara.

Akiongea katika tukio hilo, Waziri Tax aliyeambatana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala na ujumbe wa mkoa, Waziri  Tax, amemzungumzia Hayati Benjamin Mkapa  aliyewahi kufanya kazi naye kwa karibu, kama Kiongozi mahiri na mchapakazi  wakati wa uhai wake na mfano wa kuigwa.






Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top