Dkt.Biteko awasili mkoani Arusha

GEORGE MARATO TV
0


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la Radiografia Afrika litakaloanza kesho Oktoba 9, 2024.

Katika Uwanja wa Ndege wa Arusha, amepokelewa na viongozi mbalimbali wa Mkoa huo wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda.



Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top