Polisi Simiyu yaimarisha hali ya usalama

GEORGE MARATO TV
0


Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu Septemba 22, 2024 limefanya doria katika mitaa mbalimbali ya Mji wa Bariadi Mkoani humo kwa lengo la kuimarisha usalama wa raia na mali zao.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top