Rais Samia Afanya Mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
April 13, 2026
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Balozi Stephen Mbundi, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Aprili, 2026.
Share to other apps

.jpg)





