WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Aprili 13, 2026 ameongoza harambee ya kuchangia sherehe za Mei Mosi ambazo mwaka huu kitaifa zitafanyika mkoani Njombe.
Katika harambee hiyo kiasi cha shilingi bilioni 1.105 kilichangishwa