Mkuu wa jeshi la kujenga taifa awapa pole viongozi na wachezaji wa Jkt tanzania fc

GEORGE MARATO TV
0


 Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Generali Rajabu Mabele amekutana ns kusalimiana na baadhi ya viongozi wa JKT Tanzania FC na wachezaji alipowatembelea kwa ajili ya kuwapa Pole.

Meja Jenerali Mabele ambae amepokelewa na viongozi wa JKT Tanzania FC baada kuwasili katika kambi ya wachezaji, Mbweni, Dar Es salaam kuwajulia hali kutokana na ajali waliyoipata 27 October 2024 baada ya basi lao walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kuanguka eneo la Mbweni, wakitokea Dodoma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Dodoma Jiji.

Mkuu huyo wa JKT amepata nafasi ya kuzungumza na kuwapa Pole viongozi navwachezaji hao wa JKT Tanzania FC.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top