Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge wakiwa msibani nyumbani kwa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Watu Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, Marehemu William Vangimembe Lukuvi (Mb) Area D jijini Dodoma.
Mhe. Lukuvi amefariki asubuhi ya leo tarehe 25 Machi, 2026 katika Hospitali ya Benjamini Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu.





















