Waziri Simbachawene Apokelewa na Askofu Dkt. Bagonza

GEORGE MARATO TV
0


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amewasili wilayani Karagwe mkoani Kagera kumuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Mwigulu Nchemba katika Ibada ya Ubarikio wa Wachungaji na Wadiakonia,tukio ambalo litafanyika kesho tarehe 21 Disemba,2025 katika Kanisa Kuu la  Lukajange Dayosisi ya Karagwe.

Waziri Simbachawene amepokelewa na Askofu Dkt.Benson Kalikawe Bagonza ambae ni Askofu wa Kanisa  la Kiinjili la Kilutheri Tanzania wilayani Karagwe ambapo jumla ya Mashemasi watano watapata uchungaji.










Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top