Waziri Mkuu Akagua Athari Kwenye Majengo ya Mamlaka ya Mji Mdogo Kyela

GEORGE MARATO TV
0

 

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 18, 2025 amekagua majengo ya Mamlaka ya Mji mdogo wa Kyela ambayo yaliathiriwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Mheshimiwa Dkt. Mwigulu yupo mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi ya kukagua miundombinu ya umma na mali za watu binafsi zilizoathiriwq na vurugu zilizotokea Oktoba 29 Mwaka huu nchini.







Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top