Kadogosa Aadhimisha Misa Maalumu Kuliombea Taifa na Kumuombearais Samia Suluhu Hassan

GEORGE MARATO TV
0


Mbunge Wa Jimbo La Bariadi Vijijini Mh. Masanja Kungu Kadogosa Mapema Leo Amefanya Misa Maalum Ya Kumuombea Rasi Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kuliombea Taifa Na Kumuombea Marehemu Baba Yake Mzee Daudi Kungu Kadogosa Tukio Lililofanyika Nyumbani Kwake Kijijini Mwakibuga, Mkoani Simiyu.

Katika Dua Hii, Maombi Maalum Yamefanyika Kusisitiza Misingi Ya Kulinda Amani, Umoja Na Mshikamano Wa Kitaifa.

Dua Hiyo Imehudhuriwa Na Viongozi Mbalimbali Wa Serikali Akiwemo Mkuu Wa Mkoa Wa Simiyu, Viongozi Wa Madhehebu Ya Katoliki - Zaidi Ya Mapadri 10, Waislam Wakiongozwa Na Sheikh Wa Mkoa Wa Simiyu, Walutherani, Madiwani Wa Vyama Mbalimbali Vya Siasa Na Maelfu Ya Wakazi Wa Mkoa Wa Simiyu.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top