Waziri Mkuu Azungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Waziri Mkuu

GEORGE MARATO TV
0


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, TAMISEMI, Profesa Riziki Shemdoe, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira  na Mahusiano, Deus Sangu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Rahma Riadh Kisuo.

Kikao hicho kimefanyika ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 19, 2025.








Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top