PICHA mbalimbali za Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwahutubia Wananchi katika uwanja wa Gertrude Mongella Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa Mwanza leo Oktoba 25, 2025. Mkutano ndiyo wa mwisho kwa Dkt Nchimbi kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025.
Rais wa Jamhuri ya Kenya Mh William Rutto na mke wake wamewasili nchini China kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Katika ziara hiyo ameambatana na waziri mkuu mstaafu wa nchi hiyo Raila Odinga ambaye pia anapigiwa kampeni ili aweze kushinda nafasi ya Uenyekiti wa AU.





















Comments
Post a Comment