Ingawa bado muda CCM imeonesha ukubwa wake

GEORGE MARATO TV
0


Maelfu kwa mamia ya wananchi wameendelea kufurika kwenye viwanja vya Tanganyika Pakers Kawe jijini Dar es salaam tayari kumsikilizia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan na, 

Mgombea Mwenza Dkt. Emanuel John Nchimbi ambao pamoja na kuhutubia mkutano huo pia watatambulishwa rasmi kwa wananchi  na wapiga kura wa Dar es Salaam na nchi nzima.










Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
Post a Comment (0)

#buttons=(Accept !) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Learn More
Accept !
To Top